Monday, November 3, 2014

Site Chalinze

Rangers Madishi leo tupo Chalinze Mkoa wa Pwani tukitathimini  namna ambavyo tutafanya kazi  kiufanisi zaidi katika kufunga Madishi yetu pamoja na kuweka Tv 18 ukutani katika Hoteli hii inayokaribia kufunguliwa.












Karibu Rangers Madishi ujipatie huduma nzuri kutoka kwetu.

Popote ulipo tunakufikia.


No comments:

Post a Comment