Friday, October 2, 2015

JE WAJUA UNAWEZA KUANGALIA LIGI YA UINGEREZA KWA BEI CHEEE..!

 Kutokana na kupanda kwa bei ya malipo ya mwezi king'amuzi cha Dstv, wateja wengi wamekua wakijuliza maswali namna yakuweza kufuatilia tena ligi mbalimbali barani Ulaya. 


Rangers Madishi tunapenda kuwatoa hofu wateja wetu unaweza kupata kuangalia ligi kama vile ya Uingereza(Premium league) na nyinginezo kwa bei nafuu kabisa ya kila mwezi.


Kwamawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia no: 0737 216792  



RANGERS MADISHI POPOTE ULIPO TUPO..!

2 comments:

  1. Hivi ninaweza kutumia dishi la dstv kuangalia channel kwa decoder ya startimes?

    ReplyDelete
  2. Hivi ninaweza kutumia dishi la dstv kuangalia channel kwa decoder ya startimes?

    ReplyDelete