Tuesday, September 30, 2014

Rangers Madishi popote ulipo tunakufikia na kutoa huduma,

Leo tupo whatsapp Pub Kinyerezi tukirekebisha Dstv.


Fundi mwenzangu Imani akiwa katika harakati za kulifungua dishi kwajili ya kuhamishwa, sababu sehemu hiyo dishi lilikua linacheza sana.


Msamila akiwa anaweka vipimo vya standy sawa kwajili ya kufunga.


Hapo Msamila anatafuta signal za Dstv.


Hatua za mwisho za kupitisha wire katika hali ya usafi.


Rangers Madishi popote ulipo tunakufikia na kukupa huduma.

Startimes

Lipia Tsh 79,000 pata King'amuzi cha Startimes na mwezi 1 bure wa kili.

Rangers Madishi



Wednesday, September 24, 2014

Rangers Madishi.

Rangers Madishi.


Tunao uzoefu wa kufunga Dishi za aina zote na Antena. Tunafunga Flat screen ukutani na yote yanayohusiana na kuingiza au kuongeza channel kwenye tv. Tunao ozoefu wa kufunga Maofisini, Apartment na majumbani pia.


Karibu Rangers Madishi upate huduma safi na nzuri.


 

Rangers Madishi

Tunafunga Dish za aina zote Azam tv, Zuku, Dstv, Local tv, Emanuel tv, Startimes, Continental n.k. Pia tunarekebisha dish lililopoteza muelekeo. Kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi kupitia NO:+255 737 216792 / +255 719 154554.



Tuesday, September 23, 2014

Zuku Amazing

zuku tv

Furahia chaneli zaidi ya 100 kupitia king'amuzi chako cha Zuku kwa Tsh.105,000 na upate huduma ya kufungiwa.


 pamoja na mwezi 1 bure.



Wednesday, September 17, 2014

Ofa maalum ya Azam tv

King'amuzi, smartcard, dish, pamoja na kufungiwa kwa Tsh177,500 na utapata miezi miwili bure. Ofa hii itadumu kuanzia 1 Agost mpaka tarehe 31Oktoba 2014.


Azam tv inazidi kutukutanisha pamoja.



                                                     BURUDANI KWA WOTE.

Dstv

Pata king'amuzi cha Dstv kwa sh 149,000 pamoja na kufungiwa.



Friday, September 5, 2014

Dstv-So much more

Usikose burudani za kipekee na Dstv-Your world of Sports.
Leo hii saa mbili kamil usiku

Thursday, September 4, 2014

Azam tv kisima cha burudani


Pata kuona channel 58 zilizomo kwenye king'amuzi cha Azam tv kwa Tsh 12,500 tu  kwa mwezi. Usikubali kulipa zaidi ya 12,500.



Azam Tv inawaletea tena Vodacom Premier League



Wapenzi watazamaji wa mpira wa ligi ya Tanzania marufu kwa jina la Vodacom Premier League, Azam tv tumejipanga vyema  kurusha matangazo yetu live ya mechi zote zitakazo anza tarehe 20/09/2014.  

Azam tv mwanzo mwisho kwa burudani.

Azam tv nambari moja kwa burudani nje na ndani ya Tanzania.!

Azam tv inazidi kuongeza burudani kwa wateja wao, hivi karibuni kuna channel 2 zitaongezeka hivi karibuni katika mpangilio wa channel za Azam tv Ambozo ni...?



Ifahamu Tv1. Kituo cha Tv, Tanzania kinachomilikiwa na kampuni ya Sweden (MTG) kitakacholeta mapinduzi ya vipindi vya burudani. Hivi karibuni itakuwamo ndani ya king'amuzi cha Azam tv.



Channel ya pili ambayo itaongezeka katika mpangilio wa channel za Azam tv ni Quran Tv.





Azam tv  burudani kwa wote..!

Azam tv + Tv installation

PATA HUDUMA NZURI NA SAFI KUTOKA RANGERS 



Moja ya kazi ambazo tumezifanya, na hii ikiwa mojawapo pande za mbezi beach sehemu maharufu inayojulikana kwa jina la Samaki. Katika jengo la Samaki tulifunga dishi la Azam tv pamoja na kuweka tv  ukutani. Hivi ndivyo kazi ilivyokua...



Fundi akiwa katika hatua za mwisho za kunganisha waya.



Na sasa kazi imekamilika.