Thursday, September 4, 2014

Azam tv nambari moja kwa burudani nje na ndani ya Tanzania.!

Azam tv inazidi kuongeza burudani kwa wateja wao, hivi karibuni kuna channel 2 zitaongezeka hivi karibuni katika mpangilio wa channel za Azam tv Ambozo ni...?



Ifahamu Tv1. Kituo cha Tv, Tanzania kinachomilikiwa na kampuni ya Sweden (MTG) kitakacholeta mapinduzi ya vipindi vya burudani. Hivi karibuni itakuwamo ndani ya king'amuzi cha Azam tv.



Channel ya pili ambayo itaongezeka katika mpangilio wa channel za Azam tv ni Quran Tv.





Azam tv  burudani kwa wote..!

No comments:

Post a Comment