Tuesday, September 30, 2014

Rangers Madishi popote ulipo tunakufikia na kutoa huduma,

Leo tupo whatsapp Pub Kinyerezi tukirekebisha Dstv.


Fundi mwenzangu Imani akiwa katika harakati za kulifungua dishi kwajili ya kuhamishwa, sababu sehemu hiyo dishi lilikua linacheza sana.


Msamila akiwa anaweka vipimo vya standy sawa kwajili ya kufunga.


Hapo Msamila anatafuta signal za Dstv.


Hatua za mwisho za kupitisha wire katika hali ya usafi.


Rangers Madishi popote ulipo tunakufikia na kukupa huduma.

No comments:

Post a Comment