Tuesday, March 10, 2015

Site Mkoani Mtwara tukifunga Tv inayotumia nishati ya Jua (Solar) pamoja na king'amuzi cha Azam tv. Tanzania bila Giza inawezekana na Solar Grid

Rangers Madishi tukishirikiana na Kampuni ya Solar Grid tupo mkoani Mtwara tukifunga Solar ambayo inauwezo wa kuwasha taa 4,Tv, pamoja na king'amuzi cha Azam tv. 

Sasa tumeshafika kwenye camp na kazi imeanza yakufunga Solar pamoja na king'amuzi cha Azam tv. Fundi Abduli akiwa analiunganisha dishi.

Hapo fundi Herman akiwa anatafuta signal za Azam tv.


Kazi ya kulifunga dishi ikiwa tayari imeshakamilika.


kazi ya kuzifunga Taa pamoja na tv ikiwa imekamilika.






Tanzania bila Giza inawezekana kwa mawasiliano zaidi kuhusu huduma zetu wasiliana nasi kupitia 0719 154 554.

Popote ulipo tunakufikia..!