Friday, October 2, 2015

JE WAJUA UNAWEZA KUANGALIA LIGI YA UINGEREZA KWA BEI CHEEE..!

 Kutokana na kupanda kwa bei ya malipo ya mwezi king'amuzi cha Dstv, wateja wengi wamekua wakijuliza maswali namna yakuweza kufuatilia tena ligi mbalimbali barani Ulaya. 


Rangers Madishi tunapenda kuwatoa hofu wateja wetu unaweza kupata kuangalia ligi kama vile ya Uingereza(Premium league) na nyinginezo kwa bei nafuu kabisa ya kila mwezi.


Kwamawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia no: 0737 216792  



RANGERS MADISHI POPOTE ULIPO TUPO..!

*OFA* *OFA* *OFA* JIPATIE KING'AMUZI CHA DSTV KWA BEI NAFUU

Bei mpya ya king'amuzi cha DSTV Zapper HD kwa Sh 79,000/= kwa bei hiyo unatapa decorder ya Zapper yenye mfumo wa HD, Remote,  Ku Lnb pamoja na dishi. Pia mteja itakugharimu kulipia ufundi, na gharama ya ufundi ni Tsh 30,000/= tu.


 

Friday, September 4, 2015

RANGERS ELECTRONICS CO.LTD TUKIWA OSTERBAY TUKIFUNGA PROJECTOR PAMOJA SCREEN YAKE UKUTANI.

Rangers Electronics tukiwa katika majukumu yetu ya kila siku leo tupo Osterbay tukifunga Projector pamoja na screen yake ukutani.

Fundi wetu akiwa tayari ameshafunga projector sasa akimalizia kunganisha wire.


Baada ya kumaliza kufunga projector pamoja na kunganisha wire kazi ikiwa imekwisha katika muonekano huu.


 

RANGERS ELECTRONICS CO. LTD
POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA..!
 

MABADILIKO YA JINA LA KAMPUNI RANGERS MADISHI KUWA RANGERS ELECTRONICS CO.LTD

RANGERS ELECTRONICS CO.LTD tunapenda kuwafahamisha wateja wetu kuwa kwasasa kampuni yetu imebadilisha jina  RANGERS MADISHI na sasa imesajiliwa kwa jina  RANGERS ELECTRONICS CO.LTD. Madiliko haya ni kutokana na kupanuka kwa biashara yetu pia kukua kwa soko la kibiashara . 

RANGERS ELECTRONICS CO.LTD inashughulika na uzaji wa vifaa vyote vya digital satellite, ufungaji wa simu katika maofisi na kwenye Mahoteli, ufungaji wa Internet katika maofisi, mahoteli, na majumbani, pia tunafunga madishi ya aina zote.

Tuesday, June 30, 2015

Mabadiliko ya bei ya malipo ya mwezi king'amuzi cha Azam Tv

Rangers madishi tunapenda kuwajulisha wateja wetu kwanzia tarehe 1/7/2015 king'amuzi cha Azam tv bei ya malipo ya mwezi(month subscription) itaongeza kutokana na kupanda kwa dhamani pesa za
kigeni(Dollar), pia naongezeko la kodi ya Serikali.

 Hivyo basi Rangers Madishi tunapenda kuwajulisha sasa kifurushi cha
Azam play Tsh 30,000
Azam Plus Tsh 20,000
Azam Pure Tsh 12,000
Hindi Chanel Tsh 6,000

Karibu sana Rangers Madishi.

Monday, June 15, 2015

HUDUMA MPYA KUTOKA RANGERS MADISHI.



Rangers Madishi tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa sasa tunafunga SECURITY CAMERA, CABLE DESIGN, BLOCK WIRE-RING,
Pia tunafunga line za simu kwenye Hotels, Apartments, & Offices.

Kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi kupitia no: 0719 154 554, 0737 216 792.


KARIBU RANGERS MADISHI
POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA...!

Tuesday, March 10, 2015

Site Mkoani Mtwara tukifunga Tv inayotumia nishati ya Jua (Solar) pamoja na king'amuzi cha Azam tv. Tanzania bila Giza inawezekana na Solar Grid

Rangers Madishi tukishirikiana na Kampuni ya Solar Grid tupo mkoani Mtwara tukifunga Solar ambayo inauwezo wa kuwasha taa 4,Tv, pamoja na king'amuzi cha Azam tv. 

Sasa tumeshafika kwenye camp na kazi imeanza yakufunga Solar pamoja na king'amuzi cha Azam tv. Fundi Abduli akiwa analiunganisha dishi.

Hapo fundi Herman akiwa anatafuta signal za Azam tv.


Kazi ya kulifunga dishi ikiwa tayari imeshakamilika.


kazi ya kuzifunga Taa pamoja na tv ikiwa imekamilika.






Tanzania bila Giza inawezekana kwa mawasiliano zaidi kuhusu huduma zetu wasiliana nasi kupitia 0719 154 554.

Popote ulipo tunakufikia..!

Friday, February 13, 2015

OFA OFA RANGERS MADISHI KWANZIA TAREHE 14/02/2015 INATOA PUNGUZO LA BEI KING'AMUZI CHA AZAM TV KWA TSH 155,000/=.

Rangers Madishi tunatoa punguzo la bei king'amuzi cha Azam tv kwa Tsh 155,000/= badala ya 177,500. Kwa bei ya Tsh 155,000/= utapata king'amuzi cha Azam tv + remote + dishi + ufundi. Pia itabidi ulipie 12,500 kwajili ya mwezi wa kwanza.




Punguzo hili la bei utaipata RANGERS MADISHI tu. Ofa hii ni kwanzia tarehe 14/02/2015 mpaka tarehe 28/02/2015.

RANGERS MADISHI TUNASAMBAZA UPENDO..!

OFA OFA...! PUNGUZO LA BEI KING'AMUZI CHA DSTV KUTOKA Tsh99,000 MPAKA Tsh89,000. RANGERS MADISHI SAMBAZA UPENDO.

Rangers Madishi tunatoa punguzo la bei king'amuzi cha Dstv yenye mfumo wa HDMI kwa Tsh89,000 badala ya Tsh99,000 iliyopo sasa. Punguzo hili la bei utaipata Rangers Madishi tu. Nikwanzia tarehe 14/2/2015 mpaka 28/2/2015.


Kwa bei ya Tsh  89,000 utapaka king'amuzi cha Dstv + remote + dishi + Hdmi cable + ufundi.

RANGERS MADISHI TUNASAMBAZA UPENDO ...!


RANGERS MADISHI SITE MWEMBECHAI TUKIFUNGA DSTV / AZAM TV / E.tv PAMOJA NA KUWEKA TV UKUTANI.

Rangers Madishi wakala wa ving'amuzi vyote. Tunao mafundi hodari wakufunga madishi ya aina zote. 

Rangers Madishi leo mmoja kati ya mafundi wetu akiwa Mwembechai akiwa anafunga king'amuzi cha Dstv, Azam Tv, E.tv pamoja na kufunga Tv ukutani na standy ya decorder ukutani.




Fundi Awadh akifunga Tv ukutani katika hali ya usafi.


Sasa kazi nzima ya kufunga madishi  pamoja na Tv ukutani imekamilika.


Kwa huduma zetu za Satellite  wasiliana nasi kupitia no; 0719 154 554 / 0737 216 792,

RANGERS MADISHI POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA..!


RANGERS MADISHI SITE BUNJU B TUKIFUNGA AZAM TV.

Rangers Madishi moja kati ya mafundi wetu akiwa Bunju B akifunga king'amuzi cha Azam tv. 


Fundi akiwa anahakikisha bolt za Dishi kwa kuzikaza vizuri.


Kwa huduma zetu tupigie simu no: 0719 154 554 au 0737 216 792.

KARIBU RANGERS MADISHI 
TUPO KWAJILI YAKO..!

Wednesday, February 4, 2015

RANGERS MADISHI TUKIFUNGA DSTV KAMPUNI YA SOLAR GRID TANZANIA LTD ILIYOKO MAKONGO JUU.

Rangers Madishi tukiwa Makongo juu tukifunga king'amuzi cha Dstv.


Fundi Imani pamoja na Awadhi  wakiwaelekeza Viongozi  wa SOLAR GRID TANZANIA Ltd namna yakufunga king'amuzi cha Dstv.






Rangers Madishi tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Kampuni ya SOLAR GRID TANZANIA Ltd kwa ushirikiano wenu.  

RANGERS MADISHI POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA KWA WAKATI...!


Thursday, January 15, 2015

STARTIMES YAZINDUA KIFURUSHI KIPYA Tsh 4,000 KWA MWEZI.

Habari nzuri kwa wateja wetu wa ving'amuzi vya Startimes leo kifurushi kipya cha NYOTA kimezinduliwa rasmi, sasa unaweza lipia sh.4,000/= tu utapata chaneli 17 kwa mwezi mzima.


KARIBU RANGERS MADISHI POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA.

Friday, January 2, 2015

SITE UPANGA JENGO LA FK INTERNATIONAL APARTMENT

Rangers Madishi tukiwa tunazidi kupata pongezi kwa kazi zetu nzuri leo tupo Upanga kwenye Jengo la FK INTERNATIONAL APARTMENT.


Katika jengo hili la FK INTERNATIONAL tulikua tunafunga king'amuzi cha Dstv pamoja nakufunga meza ya kubeba tv ukutani.

Hapo fundi akiwa anafunga Dishi la Dstv.



Baada ya kufunga dishi la Dstv tunaanza chumbani kuweka tv pamoja na meza yake kwenye ukuta.


Baada ya kumaliza kuweka Tv chumbani sasa tunamalizia kuweka Tv sebuleni.


Karibu Rangers Madishi ujipatie huduma nzuri na safi, kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi no: 0719 154 554.

RANGERS MADISHI TUPO KWAJILI YAKO

POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA..!