Friday, October 31, 2014

Punguzo la bei king'amuzi cha Azam tv.

Ndugu mteja jipatie king'amuzi cha Azam tv kwa Tsh 160,000 kutoka Rangers Madishi.



Kwa bei ya Tsh 160,000 utapata king'amuzi cha Azam tv + remote + dish + ufundi pamoja na miezi 2 bure. Wahi sasa ofa ni mpaka tarehe 8/11/2014. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia no: 0737 216792 / 0719 154554.

RANGERS MADISHI POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA...!


Tuesday, October 28, 2014

Rangers Madishi ndani ya New Bondeni Hoteli tukirekebisha Dstv.

Rangers Madishi leo tupo New Bondeni Hotel tukirekebisha Dstv iliyofungwa kienyeji.


Fundi akiwa anatoa vyuma vyuma ambavyo vilifungwa pembeni ya dishi kwajili ya kushikilia dishi.
\

Sasa fundi anaweka signal za Dstv.




Rangers Madishi ndio suluhisho la tatizo la no signal katika king'amuzi chako karibu sana kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia no:0737 216792 / 0719 154554


Rangers Madishi popote ulipo tunakufikia


Sunday, October 26, 2014

Punguzo la bei king'amuzi cha Azam tv.

Ndugu mteja Rangers Madishi tunakupa punguzo la bei ya king'amuzi cha Azam tv kutoka Tsh177,500 mpaka Tsh160,000.  Kwa bei ya Tsh 160,000 utapata king'amuzi cha Azamtv + remote + ufundi pamoja na miezi 2. Punguzo la bei ni kwanzia leo tarehe 26/10/2014 mpaka tarehe 8/11/2014. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia no: 0719 154 554 / 0737 216792, Email:madishirangers@gmail.com.






RANGERS MADISHI POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA..!    

Saturday, October 18, 2014

Rangers Madishi Tunaomba radhi kwa usumbufu ulioupata ndugu mteja katika kufanya malipo ya mwezi ya Azam tv.

Ndugu mteja Rangers Madishi tunaomba radhi kwa  usumbufu uliojitokeza leo kwenye huduma ya malipo ya mwezi ya Azam tv. Tunapenda kuwajulisha wateja wa Azam tv usilipie malipo ya mwezi kwenye Tigopesa, M-Pesa pamoja na Maxmalipo kwa siku ya leo kwasababu mtandao unasumbua. Tafuta wakala wa Azam tv aliyekaribu nawe akufanyie malipo. Ama wasiliana nasi no 0737-216792 / 0719 154554 nasi tunaweza kukufanyia malipo.



Rangers Madishi popote ulipo tunakufikia

Friday, October 17, 2014

Jipatie ofa ya Tiketi ya mechi kati ya Simba vs Yanga au Tiketi ya Fiesta kwa kununua king'amuzi cha Azam Tv kutoka Rangers Madishi.

Ndugu mteja Rangers Madishi inatoa Ofa ya tiketi za Fiesta na tiketi ya Mechi kati ya  Simba Vs Yanga kwa wateja watakao nunua king'amuzi cha Azam tv siku ya leo na kesho wahi sasa hujachelewa bado.






Ofa hii inapatikana Rangers Madishi, kwa mawasiliano zaidi piga simu namba: 0737-216792 / 0719- 154554 / 0712 521045.

RANGERS MADISHI POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA...!

Thursday, October 16, 2014

Azam tv Je Unasumbuliwa na tatizo la No signal..?

Ndugu mteja endapo utaona ujumbe wa No signal kwenye Luninga yako na king'amuzi chako cha Azam kinawaka taa moja. Usisite kutujulisha Rangers Madishi tupo kwajili yako ndugu mteja.Wasiliana nasi kupitia no: 0737 216792 / 0719 154554



Rangers Madishi popote ulipo tunakufikia

Wednesday, October 15, 2014

Dstv

Je unajua kifurushi cha Dstv Bomba unaweza kuangalia Ligi za Ulaya..?

Jiachie kidigitali na kifurishi cha Dstv Bomba kwa gharama ya Sh17,000 na upate SuperSport Select1 na SuperSport Select2 zitakazoonyesha ligi kuu ya Uingereza, Kombe la klabu bingwa Ulaya, Ligi kuu ya Hispania, Ligi kuu ya Ujerumani pamoja na riadha na ngumi.SuperSport Blitz itawaletea habari zote za michezo.



Rangers Madishi popote ulipo tunakufikia

Tuesday, October 14, 2014

Dstv Tanzania

Ndugu mteja tunapenda kukujulisha bei mpya ya king'amuzi cha Dstv.

King'amuzi + remote cha Dstv bila dishi ni Tsh 50,000.


King'amuzi + remote + dishi + ufundi ni Tsh 99,000.


Rangers Madishi popote ulipo tunakufikia.


Sunday, October 12, 2014

Azam Tv Burudani kwa wote

Rangers Madishi tukiwa tunamalizia weekend, leo tupo makao makuu ya Tanesco  Ubungo tukifunga king'amuzi cha Azam tv pamoja na kuweka Tv ukutani.







Rangers Madishi popote ulipo tunakufikia. 

Friday, October 3, 2014

Dstv

Dstv: Pata punguzo la Tshs.50,000/= Bei ya Dstv kutoka shilingi 149,000/= na sasa ni Tshs.99,000/= Tu! Unapata king'amuzi+remote+dish+ufundi.

 

Usikubali kukosa uhondo wa ligi mbali mbali barani ulaya.

T

 

Tunakujali ewe mteja wetu. Tupo kuhakikisha tunakidhi mahitaji yako ya digital televion. Karibu sana.