Sunday, October 26, 2014

Punguzo la bei king'amuzi cha Azam tv.

Ndugu mteja Rangers Madishi tunakupa punguzo la bei ya king'amuzi cha Azam tv kutoka Tsh177,500 mpaka Tsh160,000.  Kwa bei ya Tsh 160,000 utapata king'amuzi cha Azamtv + remote + ufundi pamoja na miezi 2. Punguzo la bei ni kwanzia leo tarehe 26/10/2014 mpaka tarehe 8/11/2014. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia no: 0719 154 554 / 0737 216792, Email:madishirangers@gmail.com.






RANGERS MADISHI POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA..!    

No comments:

Post a Comment