Wednesday, October 15, 2014

Dstv

Je unajua kifurushi cha Dstv Bomba unaweza kuangalia Ligi za Ulaya..?

Jiachie kidigitali na kifurishi cha Dstv Bomba kwa gharama ya Sh17,000 na upate SuperSport Select1 na SuperSport Select2 zitakazoonyesha ligi kuu ya Uingereza, Kombe la klabu bingwa Ulaya, Ligi kuu ya Hispania, Ligi kuu ya Ujerumani pamoja na riadha na ngumi.SuperSport Blitz itawaletea habari zote za michezo.



Rangers Madishi popote ulipo tunakufikia

No comments:

Post a Comment