Saturday, October 18, 2014

Rangers Madishi Tunaomba radhi kwa usumbufu ulioupata ndugu mteja katika kufanya malipo ya mwezi ya Azam tv.

Ndugu mteja Rangers Madishi tunaomba radhi kwa  usumbufu uliojitokeza leo kwenye huduma ya malipo ya mwezi ya Azam tv. Tunapenda kuwajulisha wateja wa Azam tv usilipie malipo ya mwezi kwenye Tigopesa, M-Pesa pamoja na Maxmalipo kwa siku ya leo kwasababu mtandao unasumbua. Tafuta wakala wa Azam tv aliyekaribu nawe akufanyie malipo. Ama wasiliana nasi no 0737-216792 / 0719 154554 nasi tunaweza kukufanyia malipo.



Rangers Madishi popote ulipo tunakufikia

No comments:

Post a Comment