Tuesday, October 28, 2014

Rangers Madishi ndani ya New Bondeni Hoteli tukirekebisha Dstv.

Rangers Madishi leo tupo New Bondeni Hotel tukirekebisha Dstv iliyofungwa kienyeji.


Fundi akiwa anatoa vyuma vyuma ambavyo vilifungwa pembeni ya dishi kwajili ya kushikilia dishi.
\

Sasa fundi anaweka signal za Dstv.




Rangers Madishi ndio suluhisho la tatizo la no signal katika king'amuzi chako karibu sana kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia no:0737 216792 / 0719 154554


Rangers Madishi popote ulipo tunakufikia


No comments:

Post a Comment