Friday, September 4, 2015

RANGERS ELECTRONICS CO.LTD TUKIWA OSTERBAY TUKIFUNGA PROJECTOR PAMOJA SCREEN YAKE UKUTANI.

Rangers Electronics tukiwa katika majukumu yetu ya kila siku leo tupo Osterbay tukifunga Projector pamoja na screen yake ukutani.

Fundi wetu akiwa tayari ameshafunga projector sasa akimalizia kunganisha wire.


Baada ya kumaliza kufunga projector pamoja na kunganisha wire kazi ikiwa imekwisha katika muonekano huu.


 

RANGERS ELECTRONICS CO. LTD
POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA..!
 

MABADILIKO YA JINA LA KAMPUNI RANGERS MADISHI KUWA RANGERS ELECTRONICS CO.LTD

RANGERS ELECTRONICS CO.LTD tunapenda kuwafahamisha wateja wetu kuwa kwasasa kampuni yetu imebadilisha jina  RANGERS MADISHI na sasa imesajiliwa kwa jina  RANGERS ELECTRONICS CO.LTD. Madiliko haya ni kutokana na kupanuka kwa biashara yetu pia kukua kwa soko la kibiashara . 

RANGERS ELECTRONICS CO.LTD inashughulika na uzaji wa vifaa vyote vya digital satellite, ufungaji wa simu katika maofisi na kwenye Mahoteli, ufungaji wa Internet katika maofisi, mahoteli, na majumbani, pia tunafunga madishi ya aina zote.