Thursday, January 14, 2016

DSTV YAZINDUA CHANNEL YA CLOUDS TV.

Ndugu mteja wa king'amuzi cha Dstv tunapenda kuwajulisha channel ya clouds tv imezinduliwa  rasmi  leo.  Clouds Tv sasa iko hewani kwenye channel 294 na inapatikana kwenye vifurushi vyote.



RANGERS MADISHI POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA..!


Friday, October 2, 2015

JE WAJUA UNAWEZA KUANGALIA LIGI YA UINGEREZA KWA BEI CHEEE..!

 Kutokana na kupanda kwa bei ya malipo ya mwezi king'amuzi cha Dstv, wateja wengi wamekua wakijuliza maswali namna yakuweza kufuatilia tena ligi mbalimbali barani Ulaya. 


Rangers Madishi tunapenda kuwatoa hofu wateja wetu unaweza kupata kuangalia ligi kama vile ya Uingereza(Premium league) na nyinginezo kwa bei nafuu kabisa ya kila mwezi.


Kwamawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia no: 0737 216792  



RANGERS MADISHI POPOTE ULIPO TUPO..!

*OFA* *OFA* *OFA* JIPATIE KING'AMUZI CHA DSTV KWA BEI NAFUU

Bei mpya ya king'amuzi cha DSTV Zapper HD kwa Sh 79,000/= kwa bei hiyo unatapa decorder ya Zapper yenye mfumo wa HD, Remote,  Ku Lnb pamoja na dishi. Pia mteja itakugharimu kulipia ufundi, na gharama ya ufundi ni Tsh 30,000/= tu.


 

Friday, September 4, 2015

RANGERS ELECTRONICS CO.LTD TUKIWA OSTERBAY TUKIFUNGA PROJECTOR PAMOJA SCREEN YAKE UKUTANI.

Rangers Electronics tukiwa katika majukumu yetu ya kila siku leo tupo Osterbay tukifunga Projector pamoja na screen yake ukutani.

Fundi wetu akiwa tayari ameshafunga projector sasa akimalizia kunganisha wire.


Baada ya kumaliza kufunga projector pamoja na kunganisha wire kazi ikiwa imekwisha katika muonekano huu.


 

RANGERS ELECTRONICS CO. LTD
POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA..!
 

MABADILIKO YA JINA LA KAMPUNI RANGERS MADISHI KUWA RANGERS ELECTRONICS CO.LTD

RANGERS ELECTRONICS CO.LTD tunapenda kuwafahamisha wateja wetu kuwa kwasasa kampuni yetu imebadilisha jina  RANGERS MADISHI na sasa imesajiliwa kwa jina  RANGERS ELECTRONICS CO.LTD. Madiliko haya ni kutokana na kupanuka kwa biashara yetu pia kukua kwa soko la kibiashara . 

RANGERS ELECTRONICS CO.LTD inashughulika na uzaji wa vifaa vyote vya digital satellite, ufungaji wa simu katika maofisi na kwenye Mahoteli, ufungaji wa Internet katika maofisi, mahoteli, na majumbani, pia tunafunga madishi ya aina zote.

Tuesday, June 30, 2015

Mabadiliko ya bei ya malipo ya mwezi king'amuzi cha Azam Tv

Rangers madishi tunapenda kuwajulisha wateja wetu kwanzia tarehe 1/7/2015 king'amuzi cha Azam tv bei ya malipo ya mwezi(month subscription) itaongeza kutokana na kupanda kwa dhamani pesa za
kigeni(Dollar), pia naongezeko la kodi ya Serikali.

 Hivyo basi Rangers Madishi tunapenda kuwajulisha sasa kifurushi cha
Azam play Tsh 30,000
Azam Plus Tsh 20,000
Azam Pure Tsh 12,000
Hindi Chanel Tsh 6,000

Karibu sana Rangers Madishi.

Monday, June 15, 2015

HUDUMA MPYA KUTOKA RANGERS MADISHI.



Rangers Madishi tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa sasa tunafunga SECURITY CAMERA, CABLE DESIGN, BLOCK WIRE-RING,
Pia tunafunga line za simu kwenye Hotels, Apartments, & Offices.

Kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi kupitia no: 0719 154 554, 0737 216 792.


KARIBU RANGERS MADISHI
POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA...!