Rangers Madishi tunatoa punguzo la bei king'amuzi cha Dstv yenye mfumo wa HDMI kwa Tsh89,000 badala ya Tsh99,000 iliyopo sasa. Punguzo hili la bei utaipata Rangers Madishi tu. Nikwanzia tarehe 14/2/2015 mpaka 28/2/2015.
Kwa bei ya Tsh 89,000 utapaka king'amuzi cha Dstv + remote + dishi + Hdmi cable + ufundi.
No comments:
Post a Comment