Rangers Madishi tukiwa Gongolamboto tukifunga king'amuzi cha Dstv.
Baada ya kuliunganisha dishi tunafitisha stendi ya dishi ukutani katika hali ya usafi.
Sasa tunatafuta signal za DSTV.
Signal tayari tumeshazipata sasa tunaunganisha king'amuzi cha DSTV na Tv.
Furahia na endelea kufuatilia vipindi vya DSTV.
Karibu Rangers Madishi upate huduma nzuri na safi
Karibu Rangers Madishi tupo kwajili yako.
RANGERS MADISHI POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA...
No comments:
Post a Comment