Thursday, January 14, 2016
Friday, October 2, 2015
JE WAJUA UNAWEZA KUANGALIA LIGI YA UINGEREZA KWA BEI CHEEE..!
Kutokana na kupanda kwa bei ya malipo ya mwezi king'amuzi cha Dstv, wateja wengi wamekua wakijuliza maswali namna yakuweza kufuatilia tena ligi mbalimbali barani Ulaya.
Rangers Madishi tunapenda kuwatoa hofu wateja wetu unaweza kupata kuangalia ligi kama vile ya Uingereza(Premium league) na nyinginezo kwa bei nafuu kabisa ya kila mwezi.
Kwamawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia no: 0737 216792
RANGERS MADISHI POPOTE ULIPO TUPO..!
*OFA* *OFA* *OFA* JIPATIE KING'AMUZI CHA DSTV KWA BEI NAFUU
Friday, September 4, 2015
RANGERS ELECTRONICS CO.LTD TUKIWA OSTERBAY TUKIFUNGA PROJECTOR PAMOJA SCREEN YAKE UKUTANI.
Rangers Electronics tukiwa katika majukumu yetu ya kila siku leo tupo Osterbay tukifunga Projector pamoja na screen yake ukutani.
Fundi wetu akiwa tayari ameshafunga projector sasa akimalizia kunganisha wire.
Baada ya kumaliza kufunga projector pamoja na kunganisha wire kazi ikiwa imekwisha katika muonekano huu.
Fundi wetu akiwa tayari ameshafunga projector sasa akimalizia kunganisha wire.
Baada ya kumaliza kufunga projector pamoja na kunganisha wire kazi ikiwa imekwisha katika muonekano huu.
RANGERS ELECTRONICS CO. LTD
POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA..!
Labels:
RANGERS ELECTRONICS
Location:
Magomeni, Dar es Salaam, Tanzania
MABADILIKO YA JINA LA KAMPUNI RANGERS MADISHI KUWA RANGERS ELECTRONICS CO.LTD
RANGERS ELECTRONICS CO.LTD tunapenda kuwafahamisha wateja wetu kuwa kwasasa kampuni yetu imebadilisha jina RANGERS MADISHI na sasa imesajiliwa kwa jina RANGERS ELECTRONICS CO.LTD. Madiliko haya ni kutokana na kupanuka kwa biashara yetu pia kukua kwa soko la kibiashara .
RANGERS ELECTRONICS CO.LTD inashughulika na uzaji wa vifaa vyote vya digital satellite, ufungaji wa simu katika maofisi na kwenye Mahoteli, ufungaji wa Internet katika maofisi, mahoteli, na majumbani, pia tunafunga madishi ya aina zote.
Location:
Magomeni, Dar es Salaam, Tanzania
Tuesday, June 30, 2015
Mabadiliko ya bei ya malipo ya mwezi king'amuzi cha Azam Tv
Rangers madishi tunapenda kuwajulisha wateja wetu kwanzia tarehe 1/7/2015 king'amuzi cha Azam tv bei ya malipo ya mwezi(month subscription) itaongeza kutokana na kupanda kwa dhamani pesa za
kigeni(Dollar), pia naongezeko la kodi ya Serikali.
Hivyo basi Rangers Madishi tunapenda kuwajulisha sasa kifurushi cha
Azam play Tsh 30,000
Azam Plus Tsh 20,000
Azam Pure Tsh 12,000
Hindi Chanel Tsh 6,000
kigeni(Dollar), pia naongezeko la kodi ya Serikali.
Hivyo basi Rangers Madishi tunapenda kuwajulisha sasa kifurushi cha
Azam play Tsh 30,000
Azam Plus Tsh 20,000
Azam Pure Tsh 12,000
Hindi Chanel Tsh 6,000
Karibu sana Rangers Madishi.
Monday, June 15, 2015
HUDUMA MPYA KUTOKA RANGERS MADISHI.
Rangers Madishi tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa sasa tunafunga SECURITY CAMERA, CABLE DESIGN, BLOCK WIRE-RING,
Pia tunafunga line za simu kwenye Hotels, Apartments, & Offices.Kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi kupitia no: 0719 154 554, 0737 216 792.
KARIBU RANGERS MADISHI
POPOTE ULIPO TUNAKUFIKIA...!
Labels:
Rangers Madish
Location:
Magomeni, Dar es Salaam, Tanzania
Subscribe to:
Posts (Atom)